SARUFI YA KISWAHILI PDF

Uzito wa somo: Credit 3 Hadhi ya somo: Lazima Ufafanuzi wa kozi. Sarufi ya Kiswahili na sintaksia ni kozi inayochambua sarufi ya Kiswahili kwa kuzingatia nadharia za sintaksia kama zilivyoasisiwa na wanazuoni wa isimu. Sintaksia ni tawi la isimu linalohusu namna maneno yanavyounda virai na sentensi za Kiswahili. Sintaksia inahusu tungo za lugha ambazo zaweza kuwa ni maneno, virai, vishazi na sentensi.

Author:Kagataxe Togul
Country:Morocco
Language:English (Spanish)
Genre:Environment
Published (Last):10 August 2017
Pages:369
PDF File Size:10.94 Mb
ePub File Size:7.56 Mb
ISBN:533-4-21556-149-1
Downloads:15366
Price:Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader:DushakarMfumo huo humwezesha mzungumzaji kutunga sentensi zisizo na kikomo ambazo hukubalika na wazawa wa lugha wanaoifahamu lugha hiyo barabara. Hivyo ni dhahiri kwamba kila lugha ya mwanadamu huwa na mpangilio na sheria zinazoilinda ili kuifanya kuwa toshelevu na sanifu, na uzingatiwaji wa kanuni na taratibu hizo kwa mtumiaji humfanya na kumtambulisha kama mmilisi wa lugha hiyo.

Sheria za lugha zimegawanyika katika makundi manne yanayojulikana kamamatawi ya Sarufi ambayo ni pamoja na; matamshi, maumbo, muundo na maana.

Lugha ya Kiswahili kama zilivyokuwa lugha zote duniani ina matamshi ya aina mbili; Irabu na konsonanti. Irabu Irabu ni aina ya vitamkwa ambavyo hutolewa pasi na kuwepo kizuizichochote katika mkondo hewa utokao mapafuni ukipitia katika chemba ya kinywana chemba ya pua kwenda nje.

Konsonanti Konsonanti ni aina ya sauti ambazo hutamkwa kwa kuzuia mkondo hewa kutoka mapafuni, ukipitia chemba ya kinywa na chemba ya pua kwenda nje. Hili ni tawi la sarufi ambalo hujishughulisha na uchunguzi wa maumbo mbalimbali ya maneno katika lugha ya Kiswahili. Maumbo hayo ni; silabi, mofimu na neno lenyewe. Silabi Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambacho kwacho sauti za Lugha hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Kuna aina mbili za silabi, yaani silabi fungenasilabi huru.

Silabi huruni zile ambazo huishia na irabu. Kwa mfano; la, ma, kwa, mba, n. Ilhalisilabi fungeni zile zinazoishia na konsonanti ambapo katika lugha ya Kiswahili ni nadra kuzipata maana lugha hii inatumia silabi huru lakini hupatikana katika maneno ya Kiswahili yanayokopwa kutoka katika lugha nyingine. Muundo wa irabu peke yake I - Yapo maneno katika lugha ya Kiswahili yanayoundwa na irabu peke yake kama silabi.

Muundo wa konsonanti na irabu KI — Katika muundo huu konsonanti hutangulia irabu. Muundo wa konsonanti mbili na irabu KKI — Katika muundo huukonsonanti mbili hutangulia irabu. Mara nyingi konsonanti ya pili huwa ni kiyeyusho. Mfano; Bambwa, Tingwa, Tindwa, Mbwa, n. Muundo wa silabi funge — Huu hujitokeza katika maneno machache ambayo huwa ya mkopo. Mofimu Mofimu ni kipashio kidogo kabisa cha lugha ambacho kina uwezo wa kusitiri maana ya neno ambalo kwalo limeundwa.

AU ni kipashio kidogo kabisa cha lugha chenye maana kisarufi. Mofimu tegemezini aina ya mofimu ambayo huweza kuvunjwavunjwa na kubeba maana kisarufi, mofimu tegemezi hutegemeana ili kuleta maana kamili ya neno.

Kwa kuwa mofimu hizo hupachikwa sehemu mbili tofauti, tunapata aina mbili za viambishi kwa mujibu wa nafasi zake katika nenoyaani; viambishi awaliambavyo hupachikwa mwanzoni au nyuma ya mzizi wa neno,viambishi katiambavyo hupachikwa katikati ya neno Kiswahili hakina viambishi hivi na viambishi tamatiambavyo hivi hupachikwa mbele au mwishoni mwa mzizi wa neno.

HTML BOOK BY IVAN BAYROSS PDF

Kiswahili Sarufi na Matumizi ya Lugha F1-4

.

EL ARTE DE CERRAR CUALQUIER NEGOCIO JAMES W PICKENS PDF

SARUFI: Matumizi ya Lugha

.

LISA WEBLEY LEGAL WRITING PDF

.

JAN KARWOWSKI PODSTAWY MARKETINGU PDF

.

Related Articles